Janeth Magufuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Janeth Magufuli
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwalimu

Janeth Magufuli ni mjane wa rais wa awamu ya tano wa Tanzania,Hayati Dr John Pombe Magufuli.

Alitumikia kama mke wa Rais tangu Novemba 2015 hadi kifo cha mumewe.[1].

Janeth Magufuli awali alifanya kazi kama mwalimu wa shule ya msingi kwa zaidi ya miaka ishirini.[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ikulu. "About the President". Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Tovuti Rasmi ya Rais. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-22. Iliwekwa mnamo 10 November (2015). {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "The story of Janeth Magufuli". 18 July (2015). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-25. Iliwekwa mnamo 10 November (2015). {{cite journal}}: Check date values in: |accessdate= na |date= (help); Cite journal requires |journal= (help); Unknown parameter |archive-.url= ignored (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janeth Magufuli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.