Nenda kwa yaliyomo

John Damiano Komba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Damiano Komba (18 Machi 195428 Februari 2015) alikuwa mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Alitokea katika Chama cha Mapinduzi (CCM). Alikuwa pia mwimbaji maarufu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ["Mengi kuhusu John Damiano Komba". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu John Damiano Komba]