Jumaa Hamidu Aweso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jumaa Hamidu Aweso (amezaliwa 22 Machi 1985) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM).

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Pangani kwa miaka 20152020. [1] Akarudishwa kwenye bunge mwaka 2020 bila uchaguzi akiwa mgombea pekee katika jimbo la Pangani akawa waziri wa maji na umwagiliaji.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. "A mixed bag for Magufuli cabinet list". The Citizen (kwa Kiingereza). 6 Desemba 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-07. Iliwekwa mnamo 2020-12-23. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)