Jumatano ya Majivu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
A priest marks a cross of ashes on a worshipper's forehead.
Mkristo akipakwa majivu siku hiyo.
Mwaka wa liturujia
Magharibi
Mashariki

Jumatano ya Majivu, katika kalenda ya mwaka wa Kanisa la Magharibi[1], ni siku ya kwanza ya kwaresima, walau kwa madhehebu mengi[2][3][4][5][6][7][8][9][10][11][12][13][14] (katika liturujia ya Milano Kwaresima inaanza Jumapili inayofuata, hivyo majivu yanapakwa siku hiyo, si Jumatano[15][16]).

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jina linatokana na desturi katika Kanisa Katoliki ya kumpaka mtu majivu kichwani pamoja na kumtamkia maneno ya kumhimiza afanye toba inavyotakiwa na kipindi hicho cha liturujia kinachoandaa Pasaka[17][18].

Yesu Akishawishwa Jangwani, James Tissot, Brooklyn Museum.

Mfungo[hariri | hariri chanzo]

Kwa kawaida siku hiyo unaanza mfungo wa siku 40 kabla ya sherehe ya Pasaka. Kipindi hicho kinatunza kumbukumbu ya Yesu kufunga chakula siku arubaini jangwani baada ya kubatizwa na Yohane Mbatizaji na kabla ya kuanza utume wake mwenyewe.

Tarehe[hariri | hariri chanzo]

Tarehe ya Jumatano ya Majivu hutegemea ile ya Pasaka. Ni siku ya kufunga ya 40 kabla ya Pasaka; ilhali katika desturi hii siku za Jumapili hakuna kufunga, ni siku ya 46 kabla ya sikukuu, maana kuna Jumapili 6 ndani ya Kwaresima.

Tarehe ya mapema inayowezekana ni 4 Februari, tarehe ya mwisho inayoweza kutokea ni 10 Machi.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Melton, J. Gordon (2011). "Ash Wednesday". Katika Melton, J. Gordon (mhr.). Religious Celebrations: An Encyclopedia of Holidays, Festivals, Solemn Observances, and Spiritual Commemorations. Juz. 1. Santa Barbara: ABC-CLIO. ku. 49–50. ISBN 978-1-59884-206-7.
  2. Scanlon, Leslie (7 Februari 2005). "Ash Wednesday: What do Presbyterians do?". The Presbyterian Outlook (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Aprili 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Bartlett, David L.; Taylor, Barbara Brown (2009). Feasting on the Word: Year C, Volume 2: Lent through Eastertide. Presbyterian Publishing Corporation. uk. 22. ISBN 9781611641189.
  4. Koonse, Emma (5 Machi 2014). "Ash Wednesday Today, Christians Observe First Day of Lent". The Christian Post. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2014. Although some denominations do not practice the application of ashes to the forehead as a mark of public commitment on Ash Wednesday, those that do include Catholics, Anglicans, Lutherans, Methodists, Presbyterians, and some Baptist followers.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Sleeth, Nancy (23 Februari 2017). "How do you observe Lent?". The Wesleyan Church (kwa American English).{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Lent: Preparation for Easter | HOLINESS TODAY". www.holinesstoday.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2019. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "First Day of Lent, Ash Wednesday". The Evangelical Covenant Church of Canada (kwa Kiingereza (Canada)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Februari 2018. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Ahlgrim, Ryan. "Remember that you are dust", Mennonite World Review, 13 February 2018. (en-US) 
  9. Harader, Joanna. "Preparing to enter LentKigezo:Sndthoughts on Ash Wednesday", Mennonite World Review, 18 February 2015. (en-US) 
  10. Moravian Women's Association (Machi 2017). "Lent around the world" (PDF). The Moravian Church British Province. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 14 Februari 2018. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Ash Wednesday 2018 Worship Resources". Metropolitan Community Churches (kwa American English). Iliwekwa mnamo 14 Februari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. Richard Bott (17 Februari 2020). "Moderator's Lent Message 2020" (kwa English). United Church of Canada. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Februari 2021. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  13. Cabie, Honor Blanco. "Ash Wednesday ushers in time of remorse", Manila Standard, 14 February 2018. (en) 
  14. "Ash Wednesday Ideas". Community of Christ (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. Il Sussidiario, Giorno delle Ceneri: Cos'è il rito delle Ceneri Archived 14 Julai 2014 at the Wayback Machine
  16. Sapere, Perché il Carnevale ambrosiano si festeggia in ritardo rispetto al resto d’Italia? Archived 24 Mei 2014 at the Wayback Machine
  17. Church, Catholic (14 Septemba 2011). The Roman Missal [Third Typical Edition, Chapel Edition]. uk. 210. ISBN 9781568549903.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. Allen, O. Wesley (29 Novemba 2019). Protestant Worship: A Multisensory Introduction for Students and Practitioners (kwa Kiingereza). Abingdon Press. uk. 182. ISBN 978-1-5018-4266-5.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jumatano ya Majivu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.