Kibulgaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibulgaria (kwa Kibulgaria: български език, bălgarski ezik [ˈbɤ̞lgɐrski ɛˈzik]) ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Bulgaria.

Kibulgaria ni moja katika Muungano wa Lugha za Balkan, ambao unajumlisha Kigiriki, Kimasedonia, Kiromania, Kialbania na Kitorlakia ambacho kina lafudhi ya lugha ya Kiserbia. Kibulgaria kinafanana kabisa na Kimasedonia na Kiserbia, ambavyo vyote vina asili moja ya Slavoni - Kibulgaria.

Wanaoongea Kibulgaria ni watu milioni 9 hivi.

Alfabeti yake ni kama ifuatavyo:

А а
[a]
Б б
[b]
В в
[v]
Г г
[g]
Д д
[d]
Е е
[ɛ]
Ж ж
[ʒ]
З з
[z]
И и
[i]
Й й
[j]
К к
[k]
Л л
[l]
М м
[m]
Н н
[n]
О о
[ɔ]
П п
[p]
Р р
[r]
С с
[s]
Т т
[t]
У у
[u]
Ф ф
[f]
Х х
[x]
Ц ц
[ʦ]
Ч ч
[ʧ]
Ш ш
[ʃ]
Щ щ
[ʃt]
Ъ ъ
[ɤ̞], [ə]
Ь ь
[◌ʲ]
Ю ю
[ju]
Я я
[ja]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Jifunze Kibulgaria[hariri | hariri chanzo]

Taarifa za kiisimu[hariri | hariri chanzo]

Kamusi[hariri | hariri chanzo]

Nyinginezo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibulgaria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.