Lil Nas X

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lil Nas X
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Montero Lamar Hill
Amezaliwa Aprili 9 1999 (1999-04-09) (umri 25)
Asili yake Marekani
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki
Ala sauti
Miaka ya kazi 2015-hadi leo
Studio Columbia
Tovuti lilnasx.com

Montero Lamar Hill (maarufu kama Lil Nas X; alizaliwa 9 Aprili 1999) ni mwanamuziki wa Hip hop wa nchini Marekani na pia ni mwandishi wa nyimbo.

Alijulikana kimataifa baada ya kutoa kibao chake alichokiita Old Town Road ambacho kilipata umaarufu mkubwa sana katika mitandao mnamo mwaka 2019. Wimbo huo ulishika namba moja nchini marekani katika Billboard Hot 100 na kuwa katika nafasi hiyo ndani ya wiki kumi na tisa, na ndio wimbo pekee ambao umeweza kufanya hivyo tangu kuanzishwa kwa orodha hiyo ya nyimbo kali mnamo mwaka 1958. Pia Nas X, alichaguliwa katika tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya Grammy Awards ambapo alichaguliwa katika vipengele vya Wimbo bora wa mwaka, Albamu bora ya mwaka na pia kama Msanii bora chipukizi.

Mnamo Juni 2019, Lil Nas X alijitangaza kuwa shoga na ni msanii wa kwanza ambaye kashikilia namba moja katika orodha ya nyimbo bora kufanya hivyo. Nyimbo ya "Old Town Road" imeweza kumpatia tuzo kutok katika MTV Video Music Awards ikiwemo tuzo ya wimbo bora wa mwaka na ni msanii pekee mbaye ni shoga kushinda tuzo ya Cross country association na ni kwa sababu tu ya wimbo wake.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya albamu, pamoja na maelezo na nafasi iliyoshika
Albamu Maelezo Nafasi iliyoshika Mauzo Matunukio
Marekani
[1]
Australia
[2]
Austria
[3]
Canada
[4]
Denmark
[5]
Ufaransa
[6]
Ireland
[7]
New Zealand
[8]
Sweden
[9]
Uingereza
[10]
7 2 5 72 1 9 15 11 5 10 23
  • Marekani: 4,000[1]

Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo Mwaka Nafasi iliyoshika Mauzo Matunukio Albamu
Marekani
[12][13]
Marekani
R&B
/HH
[14]
Australia
[15]
Canada
[16]
Denmark
Ireland
[17]
Norway
[18]
New Zealand
[19]
Sweden
[20]
Uingereza
[10]
"Old Town Road"
(pamoja na Billy Ray Cyrus)
2018 1 1 1 1 1 1 1 1 2 1
  • Marekani: 1,536,000[21]
  • RIAA: Diamond[22]
  • ARIA: 10× Platinum[15]
  • BPI: 3× Platinum[23]
  • IFPI DEN: Gold[24]
  • RMNZ: 4× Platinum[25]
  • GLF: 2× Platinum[26]
7
"Panini" 2019 5 2 15 8 28
[27]
18 26 14
[28]
42 21

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Tuzo Mwaka Anayetuzwa/Kinachotuzwa Aina ya Tuzo Matokeo Marejeo
American Music Awards 2019 Mwenyewe New Artist of the Year Aliteuliwa [32]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Collaboration of the Year Aliteuliwa
Favorite Song — Rap/Hip-Hop Ameshinda
Video of the Year Aliteuliwa
Favorite Song — Pop/Rock Aliteuliwa
Apple Music Awards 2019 "Old Town Road" Song of the Year Ameshinda [33]
BBC Radio 1's Teen Awards 2019 "Old Town Road" Best Single Aliteuliwa [34]
BET Hip Hop Awards 2019 Mwenyewe Best New Hip Hop Artist Aliteuliwa [35]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Single of the Year Ameshinda
Best Collab, Duo or Group Ameshinda
Bravo Otto 2019 Mwenyewe Newcomer - [36]
BreakTudo Awards 2019 Mwenyewe International Male Artist Aliteuliwa [37]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) International Hit of the Year Aliteuliwa
Country Music Association Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Musical Event of the Year Ameshinda [38]
Danish Music Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Foreign Song of the Year Aliteuliwa [39]
Grammy Awards 2020 Mwenyewe Best New Artist Aliteuliwa [40]
"Panini" Best Rap/Sung Performance Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Record of the Year Aliteuliwa
Best Pop Duo/Group Performance Ameshinda
Best Music Video Ameshinda
7 Album of the Year Aliteuliwa
iHeartRadio Music Awards 2020 "Old Town Road" Song of the Year -
Hip-Hop Song of the Year -
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Music Video -
Best Remix -
Mwenyewe Best New Pop Artist -
Best New Hip-Hop Artist -
LOS40 Music Awards 2019 Mwenyewe Best International New Artist Aliteuliwa [41]
MTV Europe Music Awards 2019 Mwenyewe Best New Act Aliteuliwa [42]
Best Look Aliteuliwa
Best US Act Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Song Aliteuliwa
Best Video Aliteuliwa
Best Collaboration Aliteuliwa
MTV Video Music Awards 2019 Mwenyewe Best New Artist Aliteuliwa [43]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Video of the Year Aliteuliwa
Song of the Year Ameshinda
Best Collaboration Aliteuliwa
Best Hip-Hop Video Aliteuliwa
Song of Summer Aliteuliwa
Best Direction Ameshinda
Best Editing Aliteuliwa
Best Art Direction Aliteuliwa
MTV Video Play Awards[44][45][46][47] 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Winning Video Ameshinda [48]
NRJ Music Awards 2019 Mwenyewe International Breakthrough of the Year Aliteuliwa [49]
Lil Nas X na Billy Ray Cyrus International Duo/Group of the Year Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) International Song of the Year Aliteuliwa
Video of the Year Aliteuliwa
People's Choice Awards 2019 Mwenyewe Male Artist of 2019 Aliteuliwa [50]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Song of 2019 Aliteuliwa
Streamy Awards 2019 Mwenyewe Breakthrough Artist Ameshinda [51]
Swiss Music Awards 2020 "Old Town Road" Best International Hit - [52]
Teen Choice Awards 2019 Mwenyewe Choice Male Artist Aliteuliwa [53]
Choice Breakout Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" Choice Song: Male Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Choice Collaboration Aliteuliwa
Choice Song: R&B/Hip-Hop Ameshinda
UK Music Video Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Urban Video – International Aliteuliwa [54]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Caulfield, Keith (Juni 30, 2019). "The Raconteurs Land First No. 1 Album on Billboard 200 Chart With 'Help Us Stranger'". Billboard. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "ARIA Australian Top 50 Albums". Australian Recording Industry Association. Julai 1, 2019. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Discographie Lil Nas X". austriancharts.at (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "2019 Archive: Canadian Albums". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-13. Iliwekwa mnamo Julai 2, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Album Top-40 Uge 25, 2019". Hitlisten. Iliwekwa mnamo Julai 3, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Discographie Lil Nas X". austriancharts.at (kwa Kijerumani). Hung Medien. Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "IRMA – Irish Charts". Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "NZ Top 40 Albums Chart". Recorded Music NZ. Julai 15, 2019. Iliwekwa mnamo Julai 12, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Veckolista Album, vecka 32". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo Agosti 9, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. 10.0 10.1 "Lil Nas X". Official Charts Company. Iliwekwa mnamo Aprili 8, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Lil Nas X: 7 EP". RIAA.
  12. Trust, Gary (Aprili 8, 2019). "'Lil Nas X's "Old Town Road" Leaps to No. 1 on the Hot 100". Billboard. Iliwekwa mnamo Aprili 9, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. Trust, Gary (Septemba 23, 2019). "Lizzo's 'Truth Hurts' Tops Billboard Hot 100 For Fourth Week, Lil Nas X's 'Panini' Hits Top 10". Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 24, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  14. "Top R&B/Hip-Hop Songs: April 13, 2019". Billboard. Iliwekwa mnamo Aprili 9, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. 15.0 15.1 "ARIA Australian Top 50 Singles". Australian Recording Industry Association. Desemba 23, 2019. Iliwekwa mnamo Desemba 21, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. "Chart Search: Canadian Hot 100". Billboard. Iliwekwa mnamo Oktoba 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. "IRMA – Irish Charts". Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. Peaks in Norway:
  19. "NZ Top 40 Singles". Recorded Music NZ. Aprili 15, 2019. Iliwekwa mnamo Aprili 12, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  20. Peaks in Sweden:
  21. Bjorke, Matt (Januari 7, 2020). "Top 30 Digital Country Songs Chart: January 7, 2020". Rough Stock. Iliwekwa mnamo Januari 8, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  22. "Gold & Platinum – RIAA: Lil Nas X". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  23. 23.0 23.1 Kigezo:Cite certification
  24. "Lil Nas X — Old Town Road". IFPI Denmark. Iliwekwa mnamo Mei 15, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  25. Kigezo:Cite certification
  26. "Sverigetopplistan". Sverigetopplistan (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2019-10-25.
  27. "Track Top-40 Uge 25, 2019". Hitlisten. Iliwekwa mnamo Julai 3, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  28. "NZ Top 40 Singles Chart". Recorded Music NZ. Julai 8, 2019. Iliwekwa mnamo Julai 5, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  29. "Lil Nas X: Panini". RIAA.
  30. "ARIA Chart Watch #554". auspOp. Desemba 7, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-08. Iliwekwa mnamo Desemba 7, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  31. Kigezo:Cite certification
  32. Nordyke, Kimberly. "American Music Awards: Taylor Swift Wins Artist of the Year, Sets New Record", The Hollywood Reporter, October 9, 2018. 
  33. Singleton, Micah (Desemba 2, 2019). "Billie Eilish Earns Top Honors From Inaugural Apple Music Awards". Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 3, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  34. "Best Single". BBC. Iliwekwa mnamo Oktoba 14, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  35. "Cardi B Leads 2019 BET Hip Hop Awards With 10 Nominations: Exclusive". Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 12, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  36. "BRAVO-Otto-Wahl 2019: Vote für deinen Star!". Bravo Germany. Oktoba 23, 2019. Iliwekwa mnamo Oktoba 26, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  37. "BreakTudo Awards 2019: BlackPink, BTS and Red Velvet received multiple nominations". allkpop. Iliwekwa mnamo Agosti 23, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  38. "CMA Awards 2019: See who won big at country music's biggest night". CNN.com. Novemba 14, 2019. Iliwekwa mnamo Novemba 14, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  39. "Vindere til Danish Music Awards 2019" (kwa Danish). IFPI Danmark. Oktoba 17, 2019. Iliwekwa mnamo Oktoba 17, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  40. "2020 GRAMMY Awards: Complete Nominees List". Grammy.com. Novemba 20, 2019. Iliwekwa mnamo Novemba 20, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  41. "JONAS BROTHERS, ROSALÍA, AITANA, LEIVA Y MANUEL CARRASCO, MÁXIMOS NOMINADOS DE LOS40 MUSIC AWARDS 2019". Los40.com. Iliwekwa mnamo Septemba 13, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  42. "Ariana Grande Leads 2019 MTV EMA Nominations". Variety. Oktoba 1, 2019. Iliwekwa mnamo Oktoba 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  43. "Here Are All the Winners From the 2019 MTV VMAs", Billboard, August 26, 2019. 
  44. "Jessie J And Adele Top MTV Video Play Awards Winners List". Capital. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  45. Corner, Lewis (Februari 8, 2012). "Adele, Jessie J scoop MTV Play awards". Digital Spy. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  46. "CARDI B, BRUNO MARS, DUA LIPA, RUDIMENTAL AND CLEAN BANDIT TOP MTV'S MOST PLAYED VIDEOS OF 2018". www.warnermusic.co.nz. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  47. "MTV Video Play Awards: Check Out Which Artist is Most Played - BNL". Beirut The Only Way It Should Be, NightLife, Clubbing, Events, DineOut, Concerts, Festivals, Clubs, Pubs, Bars, Hotels, Restaurants, Lifestyle, Music, Fashion. Februari 13, 2012. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  48. "2019 mtv video play awards", MTV UK. 
  49. "NRJ Music Awards 2019 : Angèle, Roméo Elvis et Lil Nas X dominent la liste des nommés" (kwa French). Ozap. Iliwekwa mnamo Septemba 30, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  50. "2019 People's Choice Awards:Complete List of Nominees", E! News, September 5, 2019. 
  51. "Winners Announced for the 9th Annual Streamy Awards". The Streamy Awards. Desemba 14, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-16. Iliwekwa mnamo Desemba 14, 2019. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  52. "«Swiss Music Awards»: Die ersten Nominierten stehen fest" (kwa German). Schweizer Radio und Fernsehen. Januari 8, 2020. Iliwekwa mnamo Januari 8, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  53. "Teen Choice Awards 2019 winners announced-see the full list", Alternative Press, August 12, 2019. 
  54. "uk video music awards 2019 nominations". UK Music Video Awards. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-14. Iliwekwa mnamo Septemba 30, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lil Nas X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.