Lugha za Kibalti-Kislavoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
     Kislavoni cha Mashariki      Kislavoni cha Magharibi      KIslavoni cha Kusini      Kibalti
Mahusiano kati ya lugha za Kibalti-Kislavoni.

Lugha za Kibayi-Kislavoni ni jina la kundi la lugha zinazotumika hasa katika Ulaya Mashariki na Ulaya Kusini Mashariki, lakini pia Asia Kaskazini. Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Zinagawanyika kati ya lugha za Kibalti, lugha za Kislavoni za Mashariki, lugha za Kislavoni za Magharibi na lugha za Kislavoni za Kusini.

Lugha hizo zilienea hasa katika karne ya 6 na karne ya 7 BK. Kwa sasa wasemaji wake ni kama milioni 320.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • Balto-Slavic Accentuation, by Kortlandt; a very idiosyncratic approach to Balto-Slavic accentuation
  • Трубачев О.; Бернштейн С. (2005), "Отрывки о балто-южнославянских изоглосах", Сравнительная грамматика славянских языков (kwa Russian), Moscow: Наука{{citation}}: CS1 maint: unrecognized language (link) (Bernstein and Trubachev on the Balto-South-Slavic isoglosses)
  • Biennial International Workshop on Balto-Slavic Natural Language Processing Archived 6 Mei 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kibalti-Kislavoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.