Lugha za Kiitalia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Italia na lugha zake katika Zama za Chuma.

Lugha za Kiitalia ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika rasi ya Italia. Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kufikia mwanzo wa milenia ya 1 BK zote zilimezwa na Kilatini, lugha muhimu zaidi ya kundi hilo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • TM Texts Italic A list of all Italic texts in Trismegistos.
  • Michael de Vaan (2008) Etymological Dictionary of Latin and the other Italic Languages p.826, Leiden Indo-European Etymological Dictionaries Series, Brill Academic Publishers, (part available freely online)
  • "Tree for Italic". Linguist List, Eastern Michigan University. 2010. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "A Glossary of Indo-European Linguistic Terms". Institut für deutsche Sprache und Linguistik. 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Desemba 2008. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiitalia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.