Mafindofindo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki na athari juu ya findo.

Mafindofindo (kwa Kiingereza tonsillitis) ni ugonjwa unaopata findo[1][2][3].

Dalili zake ni pamoja na maumivu ya koo, homa, uvimbe wa findo na shingo, tena shida ya kumeza.[1]

Chanzo cha kawaida ni virusi, lakini pia bakteria[4].

Ikitokana na streptokoki wa kundi A, inaitwa uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki (strep throat).[5]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Tonsillitis". PubMed Health. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Januari 2017. Iliwekwa mnamo 30 Septemba 2016. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Tonsillitis". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2016. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Klug, TE; Rusan, M; Fuursted, K; Ovesen, T (Agosti 2016). "Peritonsillar Abscess: Complication of Acute Tonsillitis or Weber's Glands Infection?". Otolaryngology--head and neck surgery : official journal of American Academy of Otolaryngology-Head and Neck Surgery. 155 (2): 199–207. doi:10.1177/0194599816639551. PMID 27026737.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Lang, Florian (2009). Encyclopedia of Molecular Mechanisms of Disease (kwa Kiingereza). Springer Science & Business Media. uk. 2083. ISBN 9783540671367. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-02. {{cite book}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)
  5. Ferri, Fred F. (2015). Ferri's Clinical Advisor 2016: 5 Books in 1 (kwa Kiingereza). Elsevier Health Sciences. uk. PA1646. ISBN 9780323378222. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-02. {{cite book}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mafindofindo kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.