Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Barack Obama

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Napendekeza kwamba ukurasa huu uhaririwe uwe zaidi kama ukurasa wa Barrack Obama katika Wikipedia in English, ambao una habari zaidi - na kisha ukikumbuka umuhimu wake Obama katika Afrika Mashariki. Pwanyonyi (majadiliano) 12:30, 8 Novemba 2009 (UTC)[jibu]

Ndugu 'Pwanyonyi', karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili. Baada ya makaribisho, nina haya ya kusema: kwanza ni lazima ujue kwamba hii ni kamusi elezo huru! Ikiwa na maana ya kwamba kila mtu anaweza kuhariri! Mimi nikianzisha makala, basi wewe unaweza kuindeleza. Pia hata kama utataka kuchukua baadhi ya maelezo kutoka kule Wikipedia ya Kiingereza, basi una ruhusiwa, ndugu. Ukiona kwamba sisi tulioanzisha makala hii hatukuelezea sana, wewe endeleza! Karibu sana.--Muddyb MwanaharakatiLonga 05:48, 9 Novemba 2009 (UTC)[jibu]
Ndugu, katika pitapita yangu kwenye ukurasa huu - nimeona kwamba umeongeza kitu fulani ambacho awali hakikuwepo. Hii ndiyo lengo langu hasa la kukueleza pale awali. Tunategemea mengi kutoka kwako. Karibu sana.--Muddyb MwanaharakatiLonga 05:54, 9 Novemba 2009 (UTC)[jibu]