Nenda kwa yaliyomo

Makame Mashaka Foum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makame Mashaka Foum ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kijini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017