Nenda kwa yaliyomo

Masii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masii ni mji wa Kenya katika kaunti ya Machakos.

Idadi ya wakazi ni 2,501.

Pia ni kata ya Eneo bunge la Mwala[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]