Nenda kwa yaliyomo

Masimo wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masimo wa Aleksandria (alifariki 22 Aprili 282) alikuwa askofu wa mji huo wa Misri.

Alipokuwa padri alikwenda uhamishoni pamoja na askofu Dionisi wa Aleksandria kwa kutetea imani sahihi, halafu akawa mwandamizi wake kama Patriarki (9 Novemba 264 - 22 Aprili 282).

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili, lakini pia tarehe 9 Aprili[1] na zamani 27 Desemba[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum
  2. http://www.boston-catholic-journal.com/roman-martrylogy-in-english/roman-martyrology-december-in-english.htm#December_27th
  3. https://catholicsaints.info/saint-maximus-of-alexandria-27-december/

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Anba Maximus The Fifteenth Pope of Alexandria. Archived 26 Septemba 2020 at the Wayback Machine.
  • Meinardus, Otto F.A. (2002). Two Thousand Years of Coptic Christianity. American University in Cairo Press. ISBN 978-977-424-757-6.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.