Nenda kwa yaliyomo

Masoud Abdalla Salim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masoud Abdalla Salim (amezaliwa 24 Oktoba, 1962) ni mbunge wa jimbo la Mtambile katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Masoud Abdalla Salim". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.