Nenda kwa yaliyomo

Mavilus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mavilus (pia: Mayulo; alifariki 196 au 212) alikuwa Mkristo wa Hadrumetum (leo Susa, nchini Tunisia) aliyetupwa kuliwa na wanyamapori kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Caracalla[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[3] au 4 Januari[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ante-Nicene Fathers, Vol. 3. edited by Alexander Roberts, James Donaldson, and A. Cleveland Coxe, translated by S. Thelwall.(Buffalo, NY: Christian Literature Publishing Co., 1885.) Revised and edited for New Advent by Kevin Knight.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/52860
  3. Martyrologium Romanum
  4. "Dominican Martyrology: January". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-28. Iliwekwa mnamo 2019-09-28.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.