Medali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Medali mbalimbali. Utepe unatumika kuivalisha.

Medali (kutoka Kiingereza: medal) ni kipande cha metali anachopewa mshindi katika mashindano ya mchezo au mtu anayepongezwa kwa mafanikio. Watu hupewa medali kama tuzo kutokana na kufanikiwa katika jambo fulani. Thamani ya medali hutegemea na makubaliano ya tuzo husika: mtu huweza kupewa medali ya shaba, fedha, dhahabu n.k.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Osborne, Harold (ed), The Oxford Companion to the Decorative Arts, 1975, OUP, ISBN 0-19-866113-4
  • Stephen K. Scher, et al. "Medal." In Grove Art Online. Oxford Art Online, Subscription required, (accessed July 28, 2010).
  • Weiss, B. "Collection of Historical and Commemorative Medals". [1]

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

  • Louis Forrer, Biographical Dictionary of Medallists (Spink & Sons, 1904-1930) is an eight volume reference in English listing medallists through history.
  • Ulrich Thieme, Felix Becker, Allgemeines Lexicon der Bildenden Kùnstler von der Antike bis zur Gegenwart (Leipzig : 1907-1949) is a thirty six volume work in German that lists all artists without differentiating their specialty and medium like the Forrer work.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • European sculpture and metalwork, a collection catalog from The Metropolitan Museum of Art Libraries (fully available online as PDF), which contains material on medals (see index)
  • Medals and the Royal Mint Archived 5 Julai 2018 at the Wayback Machine.
  • "American World's Fair and Expo Medals". ExpositionMedals.com.
  • "Historical and Commemorative Medals". Benjamin Weiss.
  • "Medals of the World". Megan C. Robertson.
  • "The home of British and Allied militaria". Julie McCullum's Militarium. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-11.
  • "The Nobel Prize Medals and the Medal for the Prize in Economics". The Nobel Foundation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-04-10.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Medali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.