Nenda kwa yaliyomo

Mercy Chinwo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercy Chinwo ni mwanamuziki wa Injili raia Nigeria, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo. Alishinda tuzo ya msimu wa 2 wa Idol wa Nigeria mnamo 2012. [1] Ana talanta sana.

Mercy Chinwo alizaliwa mnamo Septemba 5, 1990, huko Portharcourt, Jimbo la Rivers. Alifiwa na baba yake akiwa na umri mdogo sana. [2]

Chinwo alitoa wimbo wake wa kwanza, "Testimony", mwaka wa 2015, na "Igwe" mwaka mmoja baadaye. [3] Mnamo 2017, Mercy Chinwo alisaini Lebo ya Muziki wa Injili ya EeZee Conceptz. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "How Mercy Chinwo won Nigerian Idols". Vanguard News. 9 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 9 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mercy Chinwo Biography: Age, Net Worth, Career, Awards, Ministry". Trengezie (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
  3. Media, D. O. D. (2019-11-12). "Gospel Artiste of the Week: MERCY CHINWO". Daughters Of Destiny TV (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-05-24.
  4. "Mercy Chinwo gets signed to EeZee Conceptz Record Label | Gospotainment.com". gospotainment.com. Iliwekwa mnamo 9 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mercy Chinwo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.