Mikoa ya Ghana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mikoa ya Ghana mnamo Februari 2019.

Jamhuri ya Ghana imegawiwa katika mikoa 16, ambayo yamegawiwa zaidi katika wilaya 275[1][2][3][4], kila moja ikiwa na Bunge la Wilaya (District Assembly). Chini ya wilaya kuna aina kadhaa za mabaraza, yakiwemo mabaraza 58 ya miji au maeneo, mabaraza 108 ya kanda na mabaraza 626 ya maeneo. Kamati za vitengo 16,000 huwa katika daraja ya chini zaidi.

Mikoa hiyo 16 ni:

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "SOCIAL:EC has done no wrong – Dr Afari-Gyan". Ghana News Agengy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2014.
  2. "MPs demand 24/7 police security for 275 members". myjoyonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "All Districts". GhanaDistricts.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 2021-12-06. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Ghana: Regions, Major Cities & Urban Localities – Population Statistics in Maps and Charts". City Population. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Ghana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.