Nenda kwa yaliyomo

Mohammed Rajab Soud

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammed Rajab Soud (amezaliwa tar. 18 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Jang'ombe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mohammed Rajab Soud". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.