Nenda kwa yaliyomo

Mto Issaua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Issaua ni mto wa Mkoa wa Singida (Tanzania ya kati).

Maji yake yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Rufiji.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]