Nenda kwa yaliyomo

Mto Maniere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Maniere ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini).

Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]