Muhammad Ibrahim Sanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Muhammad Ibrahim Sanya (amezaliwa tar. 21 Julai 1956) ni mbunge wa jimbo la MjiMkongwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Muhammad Ibrahim Sanya". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)