Nenda kwa yaliyomo

Omar Yussuf Mzee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omar Yussuf Mzee (amezaliwa tar. 27 Desemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Kiembesamaki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Omar Yussuf Mzee". 10 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.