Paliumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Inosenti III akiwa amevaa paliumu alivyochorwa ukutani katika monasteri ya Subiaco.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Paliumu (kutoka Kilatini pallium) ni vazi linalotumika katika Kanisa la Kilatini.

Kwanza lilitumiwa na Papa wa Roma tu, lakini baadaye lilianza kutolewa naye kwa maaskofu wakuu kuonyesha mamlaka waliyonayo juu ya maaskofu kwa kushirikishwa na Ukulu mtakatifu.

Vazi lenyewe ni utepe mweupe uliotengenezwa kwa sufu ya mwanakondoo na uliotiwa misalaba myeusi sita: mine katika duara na miwili katika sehemu inayoangukia kifuani na mgongoni.

Utepe huo unavaliwa shingoni wakati wa adhimisho la Misa katika jimbo kuu na majimbo ya kanda yake, ila Papa anauvaa duniani kote kuonyesha hadhi yake kama mchungaji mkuu wa kundi lote la Kristo kadiri ya imani ya Kanisa Katoliki.

Maaskofu wa Ukristo wa Mashariki huwa wanavaa nguo inayofanana, lakini ni pana zaidi: omofori.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Code of Canon Law regarding Metropolitan Archbishops, iliwekwa mnamo 2007-06-27 {{citation}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Boniface (747), "Letter to Cuthbert, archbishop of Canterbury", translated by Talbot
  • Canon 437, Code of Canon Law, 1983, IntraText library, iliwekwa mnamo Januari 29, 2015{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Kollmorgen, Gregor (25 Januari 2008), The Pallium - History and Present Use, New Liturgical Movement, iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2014 {{citation}}: Invalid |ref=harv (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Paul VI (10 Agosti 1978), "Motu Propio 'On The Conferring Of The Sacred Pallium'", L'Osservatore Romano (toleo la English weekly), uk. 3, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-06, iliwekwa mnamo 2017-10-10 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Rossa, Peter de (1988), Vicars of Christ: The Dark Side of the Papacy, Corgi, uk. 137{{citation}}: CS1 maint: extra punctuation (link)
  • Skinner, Gerard (Julai 2011), The Pallium{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)—a monograph published by the Archdiocese of Cardiff to mark the bestowal of the Pallium on Archbishop George Stack in July 2011.
  • Schoenig, Steven A. (Januari 16–23, 2006), "The pope, the pallium, and the churches", America: 18–19{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: ref duplicates default (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paliumu kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.