Nenda kwa yaliyomo

Philipo Augustino Mulugo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Philipo Augustino Mulugo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Songwe kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017