Nenda kwa yaliyomo

Samsung Galaxy S23

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samsung Galaxy S23 ni mfululizo wa simu janja za kisasa zaidi zinazo tumia mfumo wa Android zilizobuniwa, zilizotengenezwa, na kutangazwa na Samsung Electronics kama sehemu ya mfululizo wake wa bendera Galaxy S series. Simu hizo zilitangazwa na kuonyeshwa mnamo Februari 1 mwaka 2023 katika hafla ya Galaxy Unpacked na zilitolewa rasmi Februari 17 mwaka 2023.[1][2][3][4][5] Kwa pamoja, zinahudumu kama mrithi wa mfululizo wa Samsung Galaxy S22.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Samsung Galaxy S23 and S23+ arrive with new design, bigger batteries". GSMArena. 1 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Daniel, Petrov (1 Februari 2023). "Samsung Galaxy S23 release date, price, features, and news". PhoneArena.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Dominic, Preston (1 Februari 2023). "Samsung Galaxy S23: Everything you need to know". TechAdvisor.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. James, Rogerson (1 Februari 2023). "Samsung Galaxy S23: what we know so far". TechRadar.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Samsung Galaxy S23 Ultra is official with 200MP camera and bespoke Snapdragon 8 Gen 2". GSMArena. 1 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.