Siku ya Elimu Duniani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siku ya Elimu Duniani (kwa Kiingereza: International Day of Education) ni siku ya kimataifa ya maadhimisho ya elimu duniani inayofanyika 24 Januari kila mwaka kwa ajili ya kuhamasisha elimu.[1] Tarehe 3 Desemba 2018 Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulipitisha na kuitangaza 24 Januari kuwa siku ya elimu kimataifa na husherehekewa katika kuidumisha misingi ya elimu na kuleta amani ya dunia pamoja na kusimamia maendeleo endelevu.[2] [3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "UN General Assembly proclaims 24 January International Day of Education". UNESCO. 2018-12-05. Iliwekwa mnamo 2019-10-05.
  2. "First-ever International Day of Education". 2019-01-22. Iliwekwa mnamo 2019-10-09. UNESCO
  3. "Prvo obilježavanje Međunarodnog dana obrazovanja - 24. januara" (kwa Kibosnia). myright.ba. Iliwekwa mnamo 2019-10-13.
  4. "24 Janari:Dita Ndërkombëtare e Arsimit". www.rtklive.com (kwa Kialbania). Prishtina: Radio Television of Kosovo. 24 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku ya Elimu Duniani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.