Timgad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Timgad Trajan

Timgad (kwa Kiarabu: تيمقاد; inajulikana kama Marciana Traiana Thamugadi) ulikuwa mji wa Kirumi katika milima ya Aurès ya Algeria. Ilianzishwa na mtawala wa Kirumi Trajan aliyeiita Marciana Traiana.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Haddadou, Mohand Akli (2012). Dictionnaire toponymique et historique de l'Algérie: comportant les principales localités, ainsi qu'un glossaire des mots arabes et berbères entrant dans la composition des noms de lieux (kwa Kifaransa). Tizi Ouzou: Achab. uk. 529. ISBN 9789947972250.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Timgad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.