Nenda kwa yaliyomo

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1940

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1940 ulikuwa wa 39 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 5 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Franklin D. Roosevelt (pamoja na kaimu wake Henry A. Wallace) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Wendell Willkie (pamoja na kaimu wake Charles McNary).

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Roosevelt akapata kura 449 na Willkie 82. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.