Nenda kwa yaliyomo

Ussi Amme Pandu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ussi Amme Pandu (amezaliwa tarehe 23 Oktoba 1959) ni mbunge wa jimbo la Mtoni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Ussi Amme Pandu". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.