Nenda kwa yaliyomo

Ussi Salum Pondeza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ussi Salum Pondeza ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Chumbuni kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017