Wout Weghorst

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Weghorst akichezea Vfl Wolfsburg katika mnamo 2019

Wout François Maria Weghorst (alizaliwa 7 Agosti 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi,ambae anacheza kama mshambuliaji mkabaji wa klabu ya TSG Hoffenheim akitokea Burnley inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza na timu ya taifa ya Uholanzi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Updated squad lists for 2021/22 Premier League". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-03. 
  2. UEFA.com. "UEFA Nations League". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-03. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wout Weghorst kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.