Charles Bouguenon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles Bouguenon
Nchi Afrika kusini
Majina mengine Charlie
Kazi yake mwigizaji


Maandishi madogoCharles 'Charlie' Bouguenon (alizaliwa mnamo tarehe 30 Juni, 1983), ni mwigizaji wa nchini Afrika Kusini. [1] Anajulikana zaidi kwa uhusika wake katika mfululizo wa televisheni wa filamu maarufu za kimataifa kama vile Bloodshot, Transfoma: The Last Knight na Homeland . [2]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa 30 Juni mnamo mwaka 1983 nchini Afrika Kusini. Baba yake na babu walikuwa wanamuziki wa classical. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Charlie Bouguenon". tvsa. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Charlie Bouguenon". British Film Institute. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-14. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Bouguenon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.